Tofauti kati ya marekesbisho "Viti maalum vya wanawake"

92 bytes added ,  miaka 4 iliyopita
Nchi nyingi hutenga idadi ya viti vya wabunge kwa ajili ya wanawake wanaochaguliwa kwa namna za pekee.
Mara nyingi wananchi hupiga kura mara mbili, kwanza kwa wawakilishi wao kwa jumla halafu kura ya pili kwa ajili ya wanawake pekee.
 
Kuna pia nchi ambazo zimeanzisha majimbo ya uchaguzi kwa ajili ya wagombea wanawake pekee.
 
Nchi chache hutumia mfumo kama Tanzania ambako takriban theluthi 1 ya viti kwenye bunge ni viti maalumu ya wanawake wanaoingia baada ya kutajwa na vyama vya kisiasa lakini bila kupigiwa kura.<ref>[http://www.tanzania.go.tz/egov_uploads/documents/KATIBA%20YA%20JAMHURI%20YA%20MUUNGANO%20WA%20TANZANIA%20YA%20MWAKA.pdf Fungu 66, 1b ya Katiba ya Tanzania]</ref>