Mfumo wa Jua : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 15:
{| class="toccolours" border=1 cellspacing=0 cellpadding=2 style="text-align:center; border-collapse:collapse;"
|+align=bottom style="text-align:left;"|
<sup>*</sup> <small>'''Utaridi''' ni jina la sayari ya kwanza kutokana na [[lugha]] ya [[Kiarabu]] na pia katika [[mapokeo]] ya [[Kiswahili]] tangu kale. Vitabu vingine hutumia neno "Zebaki" ambalo pia lina [[asili]] ya Kiarabu likimaanisha [[metali]] mojawapo; inaonekana limepatikana kama [[tafsiri]] ya jina la [[Kiingereza]] la sayari ya kwanza "Mercury" bila kujua [[historia]] ya majina ya sayari sita ya kwanza yaliyoingia katika Kiswahili kutoka lugha ya Kiarabu.</small> <ref>kuhusu majina ya sayari zilizojulikana kwa Waswahili na hivyo kuwa na majina asilia, linganisha [[Jan Knappert]], Swahili Islamic poetry, Brill 1971, Vol 1 uk 96-97 - taz google booksearch [http://books.google.de/books?id=yzsVAAAAIAAJ&pg=PA97&lpg=PA97&dq=swahili+milky+way&source=bl&ots=TTuUw8pwyY&sig=VpAq9mWXJ-BwDL5w0DwxouIpcGw&hl=de&ei=x9FATPawC4bG4AbppeDXDg&sa=X&oi=book_result&ct=result&resnum=1&ved=0CBUQ6AEwADgK#v=onepage&q=swahili%20milky%20way&f=false]</ref> <br /><small>
<sup>**</sup> '''Zuhura - Ng'andu''' ni sayari ambalo kwa Kiswahili lina jina la [[Kibantu]] pamoja na jina lenye asili ya Kiarabu<br />
<sup>***</sup> Tazama makala ya '''[[Dunia]]''' kwa ajili ya namba halisi. Neno "[[ardhi]]" hutumika na waandishi kadhaa badala ya "dunia" wakitaka kutaja sayari ya tatu.<br />