Sayari : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
+kiungo
Mstari 4:
==Jina==
[[Jina]] la [[Kiswahili]] "sayari" lina asili yake katika [[neno]] la [[Kiarabu]] '''<big>كوكب سيار</big>''' ''kaukab sayar'' "nyota inayotembea" <ref>kutoka chanzo سير ''sair'' "kutembea, kusafiri" </ref>. Neno hili la Kiarabu linalingana au ni [[tafsiri]] ya neno la [[Kigiriki]] πλανήτης ''planetes'' (lenye maana ya "yenye kutembea") ambalo ni asili ya jina "planet" kwa [[Kiingereza]] na [[lugha]] nyingine za [[Ulaya]].
 
Tangu zamani watazamaji wa anga katika tamaduni mbalimbali walitambua ya kwamba nyota kwa kawaida hukaa mahali pamoja lakini nyota chache zinabadilisha polepole mahali pao kati ya nyota nyingine zikifuata njia zinazorudia kila mwaka. Nyota hizo ziliitwa "nyota zinazotembea".
 
==Ufafanuzi wa sayari==