Inter-territorial Language (Swahili) committee : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 18:
Baada ya uhuru kamati iliendelea kwa jina la '''East African Swahili Committee''' (Kamati ya Kiswahili ya Afrika Mashariki).
Ofisi ya kamati ilikuwepo Dar es Salaam ikahamia [[Nairobi]] mwaka 1943 halafu [[Makerere]] mwaka 1952 baadaye kwa muda mfupi kwenda [[Mombasa]]. Tangu 1963 ofisi ilirudishwa Dar es Salaam na tangu 1964 ikawa chini ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kwa jina la Chuo cha Uchunguzi wa Lugha ya Kiswahili (Institute of Kiswahili Language Research). Tangu 1970 imekuwa taasisi kamili ya Chuo Kikuu ikijulikana kama Taasisi ya Uchunguzi wa Kiswahili (TUKI) na tangu 2009 kama [[Taasisi ya Taaluma za Kiswahili]] (TATAKI).
 
==Kamusi za kamati==