Kilatini : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
+viungo vya nje
d →‎top: kuondoa kiungo cha ramani using AWB
Mstari 8:
* lugha mama ya [[lugha za Kirumi]] kama [[Kiitalia]], [[Kihispania]], [[Kireno]], [[Kifaransa]] na [[Kiromania]]
* lugha ya elimu na sayansi katika [[Ulaya]] kwa karne nyingi
* lugha rasmi ya [[serikali]] katika nchi nyingi za Ulaya kati ya mwisho wa Dola la Roma mwaka<!-- --> 476 BK hadi mnamo 1700 BK
* lugha pekee ya [[liturgia]] katika [[Kanisa la Kilatini]] hadi 1965
 
Mstari 15:
* lugha rasmi katika nchi ya [[Vatikano]]
[[Picha:Map-Romance Language World.png|thumb|250px|Ramani ya uenezaji wa [[lugha za Kirumi]] za leo zilizotkana na Kilatini]]
Kilatini ina athira kubwa katika lugha ya [[sayansi]] na [[elimu]]. Hadi leo hufundishwa mashuleni hasa Ulaya kama lugha ya kigeni.
 
[[Kiswahili]] kimerithi maneno ya asili ya Kilatini hasa kupitia [[Kiingereza]] kilichopokea karibu asilimia sitini ya maneno yake yote kutoka Kilatini kupitia hasa Kifaransa. Maneno mengine ya Kilatini yameingia Kiswahili kupitia Kireno, Kifaransa n.k.