Okt - Novemba - Des
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30
Kalenda ya Gregori

Tarehe 15 Novemba ni siku ya 319 ya mwaka (ya 320 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 46.

Matukio hariri

Waliozaliwa hariri

Waliofariki hariri

Sikukuu hariri

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Alberto Mkuu, Fidensyani, Valeriana, Viktorya na wenzao, Guria na Samona, Malo, Leopoldo Mtawa, Roko, Alfonso na Yohane, Yosefu Pignatelli, Yosefu Mukasa Balikuddembe, Rafaeli Kalinowski n.k.

Viungo vya nje hariri

 
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 15 Novemba kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.