Mei - Juni - Jul
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30
Kalenda ya Gregori

Tarehe 26 Juni ni siku ya 177 ya mwaka (ya 178 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 188.

Matukio hariri

Waliozaliwa hariri

Waliofariki hariri

Sikukuu hariri

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Yohane na Paulo wa Roma, Vijili wa Trento, Deodati wa Nola, Masensi wa Poitiers, Daudi wa Thesalonike, Salvio na mwenzake, Pelaji wa Cordoba, Rodolfo wa Gubbio, Antelmi wa Belley, Yosefu Ma Taishun, Yosefu Maria Robles, Yosefu Maria Escriva n.k.

Viungo vya nje hariri

 
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 26 Juni kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.