Mei - Juni - Jul
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30
Kalenda ya Gregori

Tarehe 27 Juni ni siku ya 178 ya mwaka (ya 179 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 187.

Matukio hariri

Waliozaliwa hariri

Waliofariki hariri

Sikukuu hariri

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Sirili wa Aleksandria, Gudene, Zoilo wa Cordoba, Samsoni wa Konstantinopoli, Yohane wa Chinon, Arialdo wa Milano, Thomas Toan, Magret Bays n.k.

Viungo vya nje hariri

 
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 27 Juni kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.