Ağlasun (kutoka jina la kale kwa lugha ya Kigiriki: Sagalassos) ni mji na wilaya iliyopo katika Mkoa wa Burdur kwenye Kanda ya Mediteranea nchini Uturuki.

Mandhari ya Ağlasun kutoka Sagalassos.

Maghofu ya mji wa kale yako kilometa 7 kutoka mji wa sasa.

Viungo vya Nje hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Ağlasun kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.