Abhisit Vejjajiva (kwa Kithai: อภิสิทธิ์ เวชชาชีวะ; amezaliwa 3 Agosti 1964) ni mwanasiasa wa Uthai ambaye alikuwa Waziri Mkuu wa Thailand kutoka mwaka 2008 hadi 2011.

Picha rasmi.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Abhisit Vejjajiva kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.