Aconcagua ni mlima wa Andes katika nchi ya Ajentina (Amerika Kusini).

Mlima Aconcagua, upande wa Kusini

Urefu wake ni mita 6,962 juu ya usawa wa bahari, hivyo unazidi milima yote nje ya Asia.

Tazama pia hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Argentina bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Aconcagua kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.