Adama Traoré (alizaliwa 5 Juni 1995) ni mchezaji wa soka nchini Mali ambaye anachezea Ligue 1 nchini Ufaransa klabu Metz na timu ya taifa ya Mali kama winga.

Adama Traoré I
binadamu
Jinsiamume Hariri
Nchi ya uraiaMali Hariri
Jina halisiAdama Hariri
Tarehe ya Kuzaliwa5 Juni 1995 Hariri
Mahali alipozaliwaBamako Hariri
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihiKifaransa Hariri
Kaziassociation football player Hariri
Nafasi anayocheza kwenye timuwing half Hariri
Mwanachama wa timu ya michezoTP Mazembe, Mali national football team, Ferencvárosi TC Hariri
MchezoMpira wa miguu Hariri
Ameshiriki2019 Africa Cup of Nations Hariri

Kazi ya klabu hariri

Metz hariri

Mnamo 20 Agosti 2018, baada ya kazi ya kufanikiwa katika klab ya Mazembe, Traoré alijiunga na klabu ya FC Metz kwenye mkataba wa miaka minne.

Tarehe 17 Septemba 2018, Traoré alicheza kwa mara ya kwanza mechi ya ligi akiwa na klabu ya Metz, akiingia kama mbadala dakika ya 87 akitoka Opa Nguette katika mechi ambao walipata ushindi wa 3-1 dhidi ya Béziers.Mnamo Januari 2019, alikopwa Orléans hadi mwisho wa msimu.

Kazi ya kimataifa hariri

Traoré alikuwa sehemu ya timu ya taifa ya mali ya chini ya miaka 20 walioshiriki Kombe la Dunia la FIFA U-20 nchini Uturuki. Alicheza mechi 1 tu ambapo aliingia katika dakika ya 46 akitoka Tiécoro Keita, katika ushindi wa 4-1 dhidi ya timu ya taifa ya Mexico.

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Adama Traoré I kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.