Adamu Traoré (alizaliwa 28 Juni 1995) ni mchezaji wa soka wa Mali ambaye anacheza kama kiungo wa klabu ya Ligue 1 FC Metz nchini Ufaransa na timu ya taifa ya Mali. Kwa sasa yupo kwa mkopo katika klabu ya Monaco .

Adama Traoré
binadamu
Jinsiamume Hariri
Nchi ya uraiaMali Hariri
Jina halisiAdama Hariri
Tarehe ya Kuzaliwa28 Juni 1995 Hariri
Mahali alipozaliwaBamako Hariri
NduguHamari Traoré Hariri
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihiKifaransa Hariri
Kaziassociation football player Hariri
Nafasi anayocheza kwenye timuKiungo Hariri
Muda wa kazi2014 Hariri
MchezoMpira wa miguu Hariri
Namba ya Mchezaji23 Hariri
Ameshiriki2017 Africa Cup of Nations, 2019 Africa Cup of Nations Hariri

Mafanikio hariri

Baada ya kushinda Mpira wa Dhahabu kama mchezaji bora kwenye Kombe la Dunia la FIFA chini ya miaka 20 , alicheza kwa mara ya kwanza katika kuiwakilisha timu ya taifa ya Mali kwenye Kombe la Mataifa ya Afrika mnamo 2017 na 2019.

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Adama Traoré II kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.