Adhuhuri (kutoka Kiarabu الظهر) ni kipindi cha mchana ambapo jua liko juu zaidi, baina ya asubuhi na alasiri.

Mandhari wakati wa adhuhuri.
Saa mnarani inayoonyesha adhuhuri.

Adhuhuri ni kipindi kati ya saa sita na saa nane za mchana[1].

Kinyume chake ni usiku kati.

Kwa kawaida binadamu anatumia nafasi hiyo kupumzika kidogo na kupata chakula kabla hajaendelea na kazi.

Vivyo hivyo, dini mbalimbali, hasa Ukristo na Uislamu, zinamuelekeza kumkumbuka zaidi Mungu kwa kusali kidogo.

Tanbihi hariri

  1. makala "adhuhuri", Kamusi ya Kiswahili-Kiingereza ya TUKI (Taasisi ya Utafiti wa Kiswahili, au kama Institute of Kiswahili Research ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Tanzania), toleo la mwaka 2001

Viungo vya nje hariri

  Vipindi vya siku  

UsikuUsiku katiUsiku wa mananeAlfajiriPambazukoAsubuhiAdhuhuriMchanaAlasiriJioniMachweo

  Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Adhuhuri kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.