Aggrey Deaisile Joshua Mwanri

Mwanasiasa wa Tanzania

Aggrey Deaisile Joshua Mwanri, (alizaliwa 17 Julai 1955) aliwahi kuwa mkuu wa mkoa wa Tabora, na aliwahi kuwa mbunge wa jimbo la Siha katika bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.[1] Anatokea katika Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

  1. Mengi kuhusu Aggrey Deaisile Joshua Mwanri (17 Julai 2006). Jalada kutoka ya awali juu ya 2011-10-18. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.