Agripini wa Napoli

Agripini wa Napoli (pia: Arpino; karne ya 2 - 233) anatajwa kama askofu wa sita wa mji huo wa Italia Kusini.

Tangu zamani anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu[1].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 9 Novemba[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. "Agrippinus of Naples B (RM) (also known as Arpinus)". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-02-06. Iliwekwa mnamo 2020-11-08. 
  2. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.