Ahmed Musa

Mchezaji wa soka wa Nigeria

Ahmed Musa (alizaliwa 14 Oktoba 1992) ni mchezaji wa soka wa Nigeria ambaye anacheza kama mshambuliaji na winga wa kushoto katika timu ya Al Nassr nchini Saudia na timu ya taifa ya Nigeria.

Ahmed Musa
binadamu
Jinsiamume Hariri
Nchi ya uraiaNigeria Hariri
Nchi anayoitumikiaNigeria Hariri
Jina katika lugha mamaAhmed Musa Hariri
Jina halisiAhmed Hariri
Jina la familiaMusa Hariri
Tarehe ya Kuzaliwa14 Oktoba 1992 Hariri
Mahali alipozaliwaJos Hariri
Lugha ya asiliKihausa Hariri
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihiKiingereza, Kihausa, Nigerian Pidgin Hariri
Kaziassociation football player Hariri
Nafasi anayocheza kwenye timuKiungo, wing half, forward Hariri
Muda wa kazi2008 Hariri
DiniUislamu Hariri
Eye colordark brown Hariri
Rangi ya nyweleblack hair Hariri
MchezoMpira wa miguu Hariri
Namba ya Mchezaji18 Hariri
Ameshiriki2014 FIFA World Cup, 2013 Africa Cup of Nations, Kombe la Dunia la FIFA 2018, 2019 Africa Cup of Nations Hariri
LigiLigi Kuu Uingereza Hariri

Musa akawa mchezaji wa kwanza wa Nigeria kuwa na namba zaidi ya mara mbili kwenye mechi za Kombe la Dunia la FIFA, baada ya kufunga magoli mawili dhidi ya Argentina katika Kombe la Dunia la 2014.

Musa pia ni mchezaji anaye ongoza kwa magoli nchini Nigeria. Musa alishinda magoli mawili dhidi ya Iceland katika hatua ya makundi katika Kombe la Dunia la FIFA 2018.

Tarehe 8 Julai 2016, Musa alihamia Leicester City kwa ada ya £ milioni 16.6. Alifunga magoli yake ya kwanza na klabu yake katika mechi ya kirafiki dhidi ya Barcelona; mechi ilikwisha kwa kufungwa 4-2.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ahmed Musa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.