Kuhusu Al-Shabaab nchini Msumbiji tazama Ansar al-Sunna Msumbiji

Bendera ya Al-Shabaab.

Al-Shabaab (kwa Kiarabu: الشباب, "Vijana"; kirefu: حركة الشباب المجاهدين, Ḥarakat ash-Shabāb al-Mujāhidīn; kifupisho: HSM; kwa Kisomali: Xarakada Mujaahidiinta Alshabaab; maana yake "Tapo la Vijana wa Jihad") ni kundi la Waislamu wenye itikadi kali lililoanzishwa nchini Somalia mwaka 2006 kutokana na Islamic Courts Union (ICU)[1].

Mwaka 2012 lilijiunga na Al-Qaeda.[2][3][4][5].

Wanamgambo wa Al-Shabaab walikadiriwa kuwa 7,000 - 9,000 mwaka 2014, wakiwemo wageni wengi, hasa kutoka Yemen, Sudan, Kenya, Tanzania, Afghanistan, Saudi Arabia, Malaysia, Pakistan na Bangladesh[6].

Mwaka 2015 waliacha miji yote muhimu na kuendelea kutawala maneno machache ya vijijini tu.[7]

Hata hivyo wanaendelea kupigana na wanaotazamwa nao kama maadui wa Uislamu hasa nchini Somalia, Kenya na Yemen. Kundi linaloitwa Al-Shabaab nchini Msumbiji lilianzishwa kwa njia tofauti, si tawi la Al-Shabaab wa Somalia.

Tanbihi hariri

  1. Abdisaid M. Ali 2008, 'The Al-Shabaab Al-Mujahidiin: A profile of the first Somali terrorist organisation', Institut für Strategie Politik Sicherheits und Wirtschaftsberatung (ISPSW), Berlin, Germany, June. Retrieved on August 26, 2008.
  2. "Al-Shabaab joining al Qaeda, monitor group says", CNN, February 9, 2012. Retrieved on February 9, 2012. 
  3. Bruton, Bronwyn. "Divisive Alliance", The New York Times, February 21, 2012. 
  4. "SomaliaReport: 23 February 2012 Daily Media Roundup". somaliareport.com. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo February 26, 2012.  Unknown parameter |df= ignored (help); Check date values in: |archivedate= (help)
  5. "Al-Shabaab Withdraws From Hudur". SomaliaReport. 2012-02-23. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo July 6, 2012. Iliwekwa mnamo 2012-07-07.  Unknown parameter |df= ignored (help); Check date values in: |archivedate= (help)
  6. "Al Shabaab tries to take control in Somalia". fpri.org. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo January 6, 2011.  Check date values in: |archivedate= (help)
  7. "UN Points to Progress in Battling Al-Shabab in Somalia", 3 January 2015. Retrieved on 4 January 2015. 

Marejeo hariri

Viungo vya nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
 
Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu: