Alama biashara (kwa Kiingereza: trademark) ni ishara yenye habari kamili ya kwamba jina au kitu fulani vimetokana na uvumbuzi wa pekee, hivyo ni mali ya kampuni iliyovisajili.

Alama ya biashara zilizosajiliwa.

Marejeo hariri

  • Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1)
  Makala hii kuhusu mambo ya sheria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Alama biashara kama historia yake au uhusiano wake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.