Aleix Vidal

Mchezaji wa soka wa Hispania

Aleix Vidal Parreu (alizaliwa 21 Agosti 1989) ni mchezaji wa soka wa Hispania ambaye anachezea katika timu ya Sevilla FC na timu ya taifa ya Hispania. Ni beki wa kulia na anaweza kucheza ipasavyo kama winga wa kulia.

Aleix Vidal
binadamu
Jinsiamume Hariri
Nchi ya uraiaHispania Hariri
Nchi anayoitumikiaHispania Hariri
Jina katika lugha mamaAleix Vidal Hariri
Jina la kuzaliwaAleix Vidal Parreu Hariri
Jina halisiAleix Hariri
Jina la familiaVidal Hariri
Tarehe ya Kuzaliwa21 Agosti 1989 Hariri
Mahali alipozaliwaPuigpelat Hariri
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihiKikatalunya, Kihispania Hariri
Kaziassociation football player Hariri
Nafasi anayocheza kwenye timufull back, wing half Hariri
Muda wa kazi2008 Hariri
MchezoMpira wa miguu Hariri
Namba ya Mchezaji22 Hariri

Baada ya kutumikia katika timu yake ya daraja la chini, alikuwa Mchezaji mzuri kuliko wote huko Almería, akiwasaidia katika La Liga, na pia alishinda Europa League dhidi ya Sevilla FC kabla ya kusaini na Barcelona mwaka 2015 kwa milioni 17.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Aleix Vidal kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.