Alex Oxlade-Chamberlain

Wachezaji mpira wa Uingereza

Alexander Oxlade-Chamberlain (alizaliwa 15 Agosti 1993) ni mchezaji wa soka wa Uingereza ambaye anacheza kama kiungo wa klabu ya Ligi Kuu ya Uingereza Liverpool FC na timu ya taifa ya Uingereza.

Alex Oxlade-Chamberlain
binadamu
Jinsiamume Hariri
Nchi ya uraiaUfalme wa Muungano Hariri
Nchi anayoitumikiaUingereza Hariri
Jina katika lugha mamaAlex Oxlade-Chamberlain Hariri
Jina la kuzaliwaAlexander Mark David Oxlade-Chamberlain Hariri
Jina halisiAlex Hariri
Jina la familiaOxlade-Chamberlain Hariri
Tarehe ya Kuzaliwa15 Agosti 1993 Hariri
Mahali alipozaliwaPortsmouth Hariri
BabaMark Chamberlain Hariri
NduguChristian Oxlade-Chamberlain Hariri
MchumbaPerrie Louise Edwards Hariri
MtotoAxel Oxlade-Chamberlain Hariri
Lugha ya asiliKiingereza Hariri
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihiKiingereza Hariri
Kaziassociation football player Hariri
Nafasi anayocheza kwenye timuKiungo Hariri
AlisomaSt John's College Hariri
Muda wa kazi2010 Hariri
MchezoMpira wa miguu Hariri
Namba ya Mchezaji15 Hariri
AmeshirikiUEFA Euro 2012, 2014 FIFA World Cup Hariri
LigiEnglish Football League, Ligi Kuu Uingereza, Süper Lig Hariri
Tovutihttp://alexoxladechamberlain.com/ Hariri

Baada ya kuongezeka kwa umaarufu katika timu yake ya Southampton wakati wa msimu wa 2010-11 akiwa umri wa miaka 17, alisainiwa Arsenal mnamo Agosti 2011. Alifunga mabao mawili katika mechi zake tatu za kwanza za klabu, Oxlade-Chamberlain akawa mchezaji mdogo zaidi wa Uingereza katika historia ya UEFA Champions League.

Alicheza misimu sita katika uwanja wa Emirates, alicheza michezo 198 na akafunga mabao 80, Alishinda Kombe la FA mara tatu. Na baadae Alisainiwa na Liverpool mwezi Agosti 2017.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Alex Oxlade-Chamberlain kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.