Ali Hussain Kafi (amezaliwa 1928) alikuwa Rais wa nchi ya Algeria kuanzia 2 Julai 1992, hadi 31 Januari 1994. Alifuatwa na Liamine Zeroual.

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ali Kafi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.