Always and Forever

Always & Forever ni albamu ya pili ya mwimbaji wa muziki wa ‘’country’’ Randy Travis. Ilitolewa mnamo 4 Aprili 1987 na shirika la Warner Bros. Records. Singles zilizotolewa katika albamu hii ni pamoja na singles "Too Gone Too Long", "I Won't Need You Anymore (Always and Forever)", "Forever and Ever, Amen" na "I Told You So", zote ambazo zilifika nafasi ya kwanza katika chati za Billboard Hot Country Songs.

Always & Forever
Always & Forever Cover
Albamu ya studio ya Randy Travis


Wimbo "What'll You Do About Me" umefanywa na wasaniiwengi, yakiwemo matoleo ya single na Steve Earle, The Forester Sisters na Doug Supernaw. "I Told You So" pia ni wimbo ambao ulifanywa na Carrie Underwood akishirikiana na Travis katika albamu yake ya 2007 ya Carnival Ride, ambapo ilitolewa kama single mnamo Januari 2009.

Mpangilio wa Vibao hariri

  1. "Too Gone Too Long" (Gene Pistilli) - 2:24
  2. "My House" (Al Gore, Paul Overstreet) - 2:54
  3. "Good Intentions" (Marvin Coe, Merle Haggard, Randy Travis) - 3:37
  4. "What'll You Do About Me" (Dennis Linde) - 2:38
  5. "I Won't Need You Anymore (Always and Forever)" (Max D. Barnes, Troy Seals) - 3:08
  6. "Forever and Ever, Amen" (Overstreet, Don Schlitz) - 3:31
  7. "I Told You So" (Travis) - 3:38
  8. "Anything" (Ronny Scaife, Phil Thomas) - 2:41
  9. "The Truth Is Lyin' Next to You" (Susan Longacre, Kent Robbins) - 3:24
  10. "Tonight We're Gonna Tear Down the Walls" (Jim Sales, Travis) - 2:38

Shukrani kwa: hariri


Alitanguliwa na
Hillbilly Deluxe iliyoimbwa na Dwight Yoakam
Top Country Albums Albamu nambari Moja
20 Juni 1987 - 29 Agosti 1987
Akafuatiwa na
Born to Boogie iliyoimbwa na Hank Williams, Jr.
Alitanguliwa na
Born to Boogie by Hank Williams, Jr.
Albamu za Juu za Country- albamu nambari moja
5 Septemba 1987 - 7 Novemba 1987
Akafuatiwa na
Greatest Hits Volume Two by George Strait
Alitanguliwa na
Greatest Hits Volume Two by George Strait
Top Country Albums number-one album
14 Novemba 1987
Akafuatiwa na
Just Us by Alabama
Alitanguliwa na
Just Us by Alabama
Top Country Albums number-one album
28 Novemba 1987 - 20 Februari 1988
Akafuatiwa na
80's Ladies by K.T. Oslin
Alitanguliwa na
If You Ain't Lovin', You Ain't Livin' by George Strait
Top Country Albums number-one album
7 Mei 1988 - 11 Juni 1988
Akafuatiwa na
Reba by Reba McEntire
Alitanguliwa na
Storms of Life
by Randy Travis
Top Country Albums number-one album of the year
1988
Akafuatiwa na
Loving Proof
by Ricky Van Shelton