Amani Abeid Karume

Amani Abeid Karume (amezaliwa 1 Novemba 1948) ni Rais wa Jamhuri ya Watu wa Zanzibar tangu mwaka wa 2000. Mwaka wa 2005 alichaguliwa mara ya pili. Baba yake, Abeid Amani Karume, alikuwa rais wa kwanza wa Zanzibar.

Amani Abeid Karume (2004)
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Amani Abeid Karume kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.