Anastasi wa Sinai (alifariki baada ya mwaka 700), alikuwa mmonaki, padri, abati na mwandishi maarufu wa monasteri ya Mt. Katerina katika Mlima Sinai (Misri)[1].

Mt. Anastasi katika monastery yake. Mchoro wa Rembrandt, 1631.

Habari chache tulizonazo za maisha yake zinapatikana katika maandishi yake mengi ambayo aliyatumia kutetea imani sahihi dhidi ya uzushi uliodai Yesu si binadamu halisi na kusaidia watu kufikia wokovu [2][3]. Zamani alichanganywa na Anastasi I wa Antiokia (559598),[4] hivi kwamba badhi ya maandishi hayaeleweki ni ya nani kati yao.[5][6]

Tangu kale anaheshimiwa na Waorthodoksi na Wakatoliki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 21 Aprili[7][8].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/50220
  2. Uthemann 2006, 326-330.
  3. J. J. Munitiz, "Foreword," in Kuehn-Baggarly 2007, IX.
  4. Weiss 1965, XX.
  5. Kuehn-Baggarly 2007, XIII-XXIII.
  6. J. Munitiz, "Foreword," in Kuehn-Baggarly 2007, IX.
  7. Martyrologium Romanum
  8. https://catholicsaints.info/saint-anastasius-of-sinai/

Marejeo hariri

  • Haldon, John. "The Works of Anastasius of Sinai : A Key Source for the History of Seventh-Century East Mediterranean Society and Belief." In The Byzantine and Early Islamic Near East, Volume I: Problems in the Literary Source Material, edited by A. Cameron and L. Conrad. Princeton: Darwin Press, 1992. pp. 107–147.
  • Kuehn, Clement A., and John D. Baggarly. Anastasius of Sinai. Hexaemeron. (Orientalia Christiana Analecta 278). Rome: Pontificio Istituto Orientale, 2007.
  • Kuehn, Clement A. Review of Patrology: The Eastern Fathers from the Council of Chalcedon (451) to John of Damascus (†750), ed. by Angelo Di Berardino et al. In Byzantinische Zeitschrift 101/2 (2008): n.p.
  • Richard, Marcel, and Joseph Munitiz, eds. Anastasii Sinaïtae: Quaestiones et responsiones. CCSG 59. Turnhout: Brepols, 2006.
  • Shahan, Thomas J. "St. Anastasius Sinaita" Catholic Encyclopedia. New York: Robert Appleton Company. 1907.
  • Uthemann, Karl-Heinz, ed. Anastasii Sinaïtae: Viae dux. CCSG 8. Turnhout: Brepols, 1981.
  • Uthemann, Karl-Heinz, ed. Anastasii Sinaïtae: Sermones duo in constitutionem hominis secundum imaginem Dei necnon opuscula adversus monotheletas. CCSG 12. Turnhout: Brepols, 1985.
  • Uthemann, Karl-Heinz. "Anastasius the Sinaite." In Patrology. The Eastern Fathers from the Council of Chalcedon (451) to John of Damascus (†750), edited by Angelo Di Berardino et al. Cambridge: James Clark, 2006. pp. 313–331.
  • Weiss, Günter. Studien zum Leben, zu den Schriften und zur Theologie des Patriarchen Anastasius I. von Antiochien (559 - 598). Munich: Institut für Byzantinistik, 1965.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.