Anne Frank

mwandishi wa habari wa Kiyahudi wa Uholanzi aliyezaliwa Ujerumani na mwathirika wa mauaji kipindi cha utawala wa Adolf Hitler (1929-1945)

Annelies Marie Frank (Frankfurt am Main, 12 Juni 1929 - Bergen-Belsen, Februari 1945) ni mmoja wa Wayahudi maarufu zaidi waliokufa katika mauaji ya kimbari yaliyofanywa na chama cha Nazi wakati wa Vita Kuu ya Dunia ya Pili.

Anne Frank (1940)

Kitabu chake cha kumbukumbu kinaonekana kuwa kitabu bora katika fasihi za vita, na ni kimojawapo kati ya vitabu vinavyosomwa sana siku hizi.

Vipindi na sinema kadhaa vimefanywa kupitia kitabu hicho.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Anne Frank kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.