Anne Kajir (alizaliwa 1974) ni wakili kutoka Papua Guinea Mpya aliyeshuhulika na rushwa iliyoenea katika serikali ya nchi Australia, ambayo iliruhusu ukataji miti ovyo katika misitu ya kitropiki. [1]

Kajir alitunukiwa Tuzo ya Mazingira ya Goldman mwaka 2006.

Marejeo hariri

  1. Goldman Environmental Prize 2006: Anne Kajir Archived Oktoba 20, 2007, at the Wayback Machine (Retrieved on 2007-10-25)