Anthony Evan Hecht (16 Januari 192320 Oktoba 2004) alikuwa mshairi kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1968 alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Ushairi.

Anthony Hecht, 1947

Viungo vya Nje hariri

  Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Anthony Hecht kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.