Anthony James Leggett (amezaliwa 26 Machi, 1938) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza halijoto chini. Mwaka wa 2003, pamoja na Alexei Abrikosov na Vitali Ginzburg, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Leggett (2007)
Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Anthony Leggett kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.