Anyesi wa Montepulciano

Anyesi wa Montepulciano (Montepulciano, Toscana, Italia, 28 Januari 1268 - Montepulciano, 20 Aprili 1317) alikuwa bikira wa ukoo bora aliyejiweka wakfu akiwa na umri wa miaka 9. Alikuwa na vipaji na karama za pekee kiasi kwamba akiwa na umri wa miaka 15 tu alichaguliwa na kuthibitishwa kuwa abesi katika monasteri mpya ya Kifransisko.

Mt. Anyesi akikomunishwa na malaika.

Baadaye alikubali kurudi kwao alipoanzisha nyingine aliyoiunganisha na familia ya kiroho iliyoanzishwa na Dominiko Guzman ambaye alikuwa amemtokea kwa ajili hiyo[1][2].

Anyesi alitangazwa na Papa Benedikto XIII kuwa mtakatifu mwaka 1726[3].

Sikukuu yake inaadhimishwa tarehe aliyoaga dunia[4].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. "Dorcy, Marie Jean. St. Dominic's Family, Tan Books and Publishers, (1983)". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-05-27. Iliwekwa mnamo 2014-03-02.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help); More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help)
  2. "Sant' Agnese Segni di Montepulciano". Santi Beati (kwa Kiitaliano). 
  3. Tiepolo, Giovanni Battista; veneziano, Museo del Settecento; N.Y.), Metropolitan Museum of Art (New York; York, N. Y. ) Metropolitan Museum of Art (New (1996). Giambattista Tiepolo, 1696-1770 : [Venice, Museum of Ca' Rezzonico, from September 5 to December 9, 1996] : The Metropolitan Museum of Art, New York, [from January 24 to April 27, 1997] (kwa Kiingereza). Metropolitan Museum of Art. uk. 222. ISBN 978-0-87099-812-6. 
  4. Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107

Vyanzo hariri

Viungo vya nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.