Apolinari wa Valence

Apolinari wa Valence (Vienne, Ufaransa, 453 hivi – 520 hivi) alikuwa askofu wa mji huo kuanzia mwaka 490 hivi.

Baba yake alikuwa seneta, halafu askofu wa Vienne, kabla ya mtoto wake mwingine, Avito wa Vienne[1].

Tangu zamani anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake inaadhimishwa kila mwaka tarehe 5 Oktoba[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.