Arafa (kutoka neno la Kiarabu) ni ujumbe mfupi wa maandishi unaotumwa na kupokewa kwa mfano katika simu.

Vidole vikiandika arafa.

Pamoja na ufupi wake, unaweza kuwa na umuhimu na uzuri kiasi cha kuifanya aina ya sanaa.

Pia arafa zinatumika siku hizi kwa ajili ya siasa, zikisambaza haraka habari au maoni ambavyo pengine visingeweza kujulishwa kupitia magazeti au vyombo vingine vya mawasiliano ya kijamii.

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Arafa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.