Aratika

kisiwa katika Polynesia ya Ufaransa

Aratika ni kisiwa cha Polinesia ya Kifaransa ndani ya funguvisiwa ya Tuamotu. Kiko upande wa kaskazini wa kisiwa cha Fakarava. Eneo la kisiwa ni 8.3 km². Mji mkubwa kabisa kisiwani huitwa Paparara. Mwaka wa 2012, idadi ya watu kisiwani imehesabiwa kuwa 160. Watu wakaao kisiwani kwa Aratika huongea Kituamotu na Kitahiti.

Kisiwa cha Aratika
Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.