Aristide wa Athens

Aristide wa Athens (alizaliwa Athens, Ugiriki, karne ya 1) alikuwa mwanafalsafa ambaye, kisha kuongoka, alieneza na kutetea Ukristo hata kwa maandishi maarufu.

Aristide wa Athens

Picha takatifu ya Mt. Aristide.
Amezaliwa wazaliwa wa karnr ya 1
Feast

Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 31 Agosti[1] au 13 Septemba[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Vyanzo hariri

Marejeo mengine hariri

  • Altaner, Berthold (1960). Patrology. New York: Herder and Herder. 

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.