Arkupo (kwa Kiingereza Archippus, kutoka Kigiriki: Ἅρχιππος, Arkhippos, "bwana wa farasi") alikuwa Mkristo wa karne ya 1 anayetajwa na mtume Paulo mara mbili kama mwenzi wake katika Agano Jipya la Biblia ya Kikristo: Film 1:2 na Kol 4:17.

Arkupo na Filemoni.

Inasemekana alikuwa askofu wa kwanza wa Laodikea.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa nao tarehe 20 Machi[1] au tarehe 19 Februari.

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mtu wa Biblia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Arkupo kama habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.