Armen Vardani Sargsyan (kwa Kiarmenia: Արմեն Վարդանի Սարգսյան; amezaliwa 23 Juni 1953) ni mwanasiasa, mwanafizikia na mwanasayansi wa kompyuta wa Armenia ambaye amekuwa Rais wa Armenia tangu mwaka 2018.

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Armen Sarkissian kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.