Arubaini na moja au arobaini na moja ni namba inayoandikwa 41 kwa tarakimu za kawaida na XLI kwa zile za Kirumi.

Ni namba asilia inayofuata 40 na kutangulia 42.

41 ni namba tasa.

Matumizi hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Arubaini na moja kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.