Ascension ni kisiwa chenye asili ya volikano kilichoko kusini kidogo kwa ikweta, katika Bahari ya Atlantiki, kilomita 1,600 hivi kutoka Afrika na 2,300 hivi kutoka Amerika Kusini (Brazil).

Georgetown ni kitovu cha kisiwa.

Wakazi wote ni 806 tu (sensa ya mwaka 2016).

Kiutawala kiko chini ya koloni la Saint Helena[1], ambalo liko chini ya Ufalme wa Muungano.

Jina lilitokana na sherehe ya Kupaa Bwana, ambayo ndiyo siku ya mwaka 1501 kisiwa kilipoonekana kwa mara ya kwanza.

Tanbihi hariri

Marejeo hariri

Viungo vya nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:

  Ascension travel guide kutoka Wikisafiri

Taarifa na serikali hariri

Historia na Jiografia hariri

Taasisi hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Ascension kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.