Atashasta Justus Nditiye

Atashasta Justus Nditiye (1969-2021) alikuwa mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Alichaguliwa kuwa mbunge wa Muhambwe kwa mwaka 20152020. [1]

Marejeo hariri

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Januari 2018