Kwa matumizi tofauti ya jina hili tazama Atlas (maana)

Atlasi ni mkusanyiko wa ramani zinazounganishwa pamoja kwa umbo la kitabu. Siku hizi zinapatikana pia kwa umbo la elektroniki kwa matumizi ya kompyuta au kwenye intaneti.

Kwa kawaida atlasi hua na ramani mbalimbali za nchi, bara au Dunia yote. Kuna pia atlasi za anga zinazoonyesha nyota. Neno linatumiwa pia kwa mkusanyiko wa michoro ya anatomia ikionyesha mifupa au viungo vya mwili.

Atlasi huonyesha ramani za aina tofautitofauti kama tabia za kijiografia, kisiasa au kiuchumi.

Ramani ya Dunia katika atlasi ya kwanza ya kisasa iliyotungwa na Ortelius - Theatrum Orbis Terrarum (1570)

Mifano ya atlasi hariri

Karne ya 17 na mapema
Karne ya 18
  • Cartes générales de toutes les parties du monde (Ufaransa, 1658-1676)
  • Britannia Depicta (London, 1720)
  • Atlas Nouveau (Amsterdam, 1742)
  • Cary's New and Correct English Atlas (London, 1787)
Karne ya 19
Karne ya 20

Viungo vya Nje hariri

Vyanzo hariri

Atlasi kwenye intaneti hariri

Historia ya atlasi hariri

Atlasi za Kihistoria katika intaneti hariri

Viungo vingine hariri