Augsburg ni mji wa Bavaria nchini Ujerumani. Iko kando ya mto Lech. Idadi ya wakazi wake ni takriban 263,646. Mji ulianzishwa 15 KK.

Augsburg

Nembo
Augsburg is located in Ujerumani
Augsburg
Augsburg

Mahali pa mji wa Augsburg katika Ujerumani

Majiranukta: 48°22′0″N 10°54′0″E / 48.36667°N 10.90000°E / 48.36667; 10.90000
Nchi Ujerumani
Jimbo Bavaria
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 263,646
Tovuti:  www.augsburg.de
Nyumba ya baraza la mji (Rathaus)

Tazama pia hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Augsburg kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.