Aweil East (jimbo)


Aweil State (pia: Abiem State) ni mojawapo kati ya majimbo 32 yanayounda Sudan Kusini.

Aweil East State
Mahali paAweil East State
Mahali paAweil East State
Mahali pa Aweil East katika Sudan Kusini
Nchi Sudan Kusini
Makao makuu Wanyjok
Idadi ya kaunti 13
Idadi ya manispaa 2
Serikali
 - Gavana Deng Deng Akuei
Idadi ya wakazi (Kadirio la 2014)
 - Wakazi kwa ujumla 529,100

Imegawanyika katika kaunti 8: Wunlung County, Malualbaai County, Warguet County, Yargot County, Madhol County, Mangok County, Baac County na Mangar-Tong County.[1], mbali na manispaa za Malualkon na Majok Yinh Thiou.[2]

Tanbihi hariri

  1. Aweil East governor appoints county commissioners. Radio Tamazuj (21 April 2016). Jalada kutoka ya awali juu ya 2016-08-19. Iliwekwa mnamo 12 August 2016.
  2. Aweil East governor appoints Wanyjok town mayor and deputy. Radio Tamazuj (27 March 2016). Jalada kutoka ya awali juu ya 2016-08-17. Iliwekwa mnamo 12 August 2016.
  Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Aweil East (jimbo) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.