Aidın (Kigiriki: Αϊδίνιο) ni mji mkuu wa Mkoa wa Aydın wa nchini Uturuki.

Ramani ya mji wa Aydın.

Aidın ni kitovu cha mabonde madogo ya Mto Meander kuelekea chini ya Bahari ya Aegean. Mji unafahamika toka zama za kale kwa kuwa na rutuba na mazao mengi. Leo hii zao kubwa lifahamikalo kwa huko ni ile miti ya mifigi, japokuwa eneo linaweza kuotesha baadhi ya kilimo cha mazao mengine tofauti na hayo.

Mji pia una viwanda vidogovidogo na maeneo kadhaa ya kihistoria na vitovu vya utalii. Hali ya hewa ya huko kwa kipindi cha kiangazi huwa na joto sana.

Viungo vya nje hariri


  Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Aydın kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.