Mustafa Bülent Ecevit (28 Mei 1925 - 5 Novemba 2006) alikuwa mwanasiasa wa Uturuki, mshairi, mwandishi, msomi, na mwandishi wa habari, ambaye aliwahi kuwa Waziri Mkuu wa Uturuki mara nne kati ya miaka 1974 na 2002. Alihudumu kama waziri mkuu wa Uturuki mnamo 1974, 1977, 1978 –79, na 1999-2002.

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bülent Ecevit kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.