Bahari ya Flores (kwa Kiingereza: Flores Sea) ni sehemu ya bahari kati ya visiwa vya Indonesia.

Mazingira ya Bahari ya Flores katika Asia kusini Mashariki

Inapakana na kisiwa cha Celebes (Sulawesi) upande wa kaskazini. Visiwa vya Flores na Sumbawa viko upande wa kusini vikitenganisha sehemu hii na Bahari Hindi[1].

Eneo lake ni kilomita za mraba 240,000.

Marejeo hariri

  1. Islands in the Flores Sea, tovuti ya visible earth.nasa.gov, iliangaliwa Oktoba 2019

Viungo vya nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:

8°S 121°E / 8°S 121°E / -8; 121

  Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Bahari ya Flores kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.