Bandar Seri Begawan


Bandar Seri Begawan ni mji mkuu wa Brunei kwenye kisiwa cha Borneo mwenye wakazi 46,229 (1991). Iko kwa 4°55'N na 114°55'E.

Jiji la Bandar Seri Begawan
Nchi Brunei
Msikiti ya Sultan Omar Ali Saifuddin

Tangu kupatikana kwa utajiri wa mafuta ya petroli mji umepambwa na majengo mazuri kama vile jumba la Sultani, msikiti ya Sultan Omar Ali Saifuddien. Makumbusho ya teknolojia ya Kimalay na makumbusho ya historia ya Brunei.

Kuna pia viwanda vya fenicha na vitambaa.

Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Bandar Seri Begawan kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons