Barry James Marshall (amezaliwa 30 Septemba, 1951) ni daktari kutoka nchi ya Australia. Hasa alichunguza heliobacter pylori na uhusiano wake na kidonda cha tumbo. Mwaka wa 2005, pamoja na Robin Warren, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Barry Marshall
Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Barry Marshall kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.