Benjamin Pavard

Mchezaji wa mpira wa shirikisho la mpira ufaransa

Benjamin Jacques Marcel Pavard (alizaliwa 28 Machi 1996) ni mchezaji wa soka wa Ufaransa ambaye anacheza kama beki wa klabu ya Bayern Munich na timu ya taifa ya Ufaransa. Yeye huchezeshwa hasa kama beki wa kati lakini pia anaweza kucheza kama beki wa kulia.

Benjamin Pavard
binadamu
Jinsiamume Hariri
Nchi ya uraiaUfaransa Hariri
Nchi anayoitumikiaUfaransa Hariri
Jina katika lugha mamaBenjamin Pavard Hariri
Jina la kuzaliwaBenjamin Jacques Marcel Pavard Hariri
Jina halisiBenjamin Hariri
Jina la familiaPavard Hariri
Tarehe ya Kuzaliwa28 Machi 1996 Hariri
Mahali alipozaliwaMaubeuge Hariri
Lugha ya asiliKifaransa Hariri
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihiKifaransa Hariri
Kaziassociation football player Hariri
Nafasi anayocheza kwenye timufull-back Hariri
Muda wa kazi2014 Hariri
Mwanachama wa timu ya michezoInternazionale Milano Hariri
MchezoMpira wa miguu Hariri
Namba ya Mchezaji55 Hariri
AmeshirikiKombe la Dunia la FIFA 2018, UEFA Euro 2020, Kombe la Dunia la FIFA 2022 Hariri
Ligi2. Bundesliga, Bundesliga, Seria A Hariri
Tuzo iliyopokelewaKnight of the Legion of Honour Hariri

Alianza kazi yake na klabu ya Lille ya Ufaransa na baadae 2016 kuhamishiwa VfB Stuttgart ya Ujerumani. Mnamo Januari 2019 alikubali kuhamia Bayern Munich kwa mkataba wa miaka mitano hadi juni 2024.

Kimataifa aliisaidia nchi yake ya Ufaransa kushinda Kombe la Dunia la 2018, Yeye ndiye mchezaji aliyefunga goli bora zaidi katika michuano hiyo.


Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Benjamin Pavard kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.