Berlinda (pia: Berlindis, Berlenda, Berelenda, Bellaude; alifariki 702) alikuwa binti mtemi aliyepata kuwa mmonaki Mbenedikto na hatimaye mkaapweke akiishi mjini Meerbeke (leo nchini Ubelgiji) kwa ufukara na upendo.

Mt. Berlinda katika dirisha la kioo cha rangi huko huko Meerbeke.

Tangu kale ameheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake ni tarehe 3 Februari[1].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Marejeo hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.