Bernadotte Everly Schmitt

Bernadotte Everly Schmitt (19 Mei 188623 Machi 1969) alikuwa mwanahistoria kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1931, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Historia kwa kitabu chake The Coming of the War, 1914.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bernadotte Everly Schmitt kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.